Tuesday, June 14, 2016

TANZANI TEHAMA YASHIKA KASI

WANZANIA WALIO WENGI WAMEANZA KUWA NA UELEWA MKUBWA WA MATUMIZI YA COMPUTER,


GFARHPOIHOR[PHORH[KLKJ
BJERHEGIJIPOHHOPP
KJRHGIJHRIOHJIOH
KJKJJPOKKYJL
Share:

TANZANIA SIMU FEKI KUFUNGIWA

IFIKAPO TAREHE 16 MWEZI WA SITA SIMU ZOTE FEKI ZITAZIMWA.
KJHIIOROIUER9OGUR9ERIUER9IURIOIORG
HUIUHIOTRTRKIURJIHJTRHTRIUTRIOIOGI
HJUHTRHJKJTRHJTRITRJIHJHHHIJTRIJH
TRJTRHTRHUGTKUHJUTKJJHHHIJ
JJGHJUTRHIJYILHTYIJIYOHJIYTTYIOTY
Share:

Friday, March 18, 2016

Thursday, September 17, 2015

Rais Obama kaandika haya kuhusu mtoto aliyekamatwa na saa wakidhani ni Bomu…



September 16 2015 nilikusogezea stori kuhusu ishu ya mtoto wa miaka 14, Ahmed Mohamed mwanafunzi wa  MacArthur High School iliyoko Irving, Texas Marekani kukamatwa na Polisi baada ya kwenda na saa ambayo Walimu waliifananisha na Bomu !!
Ahmed
Ahmed aliibuni saa hiyo yeye mwenyewe, lakini kutokana na muonekano wake Walimu walishtuka wakijua kaibuka na Bomu Shuleni, good news ni kwamba hiyo ishu imefika mpaka White House, Ikulu ya Rais Barack Obama Marekani.
Rais Obama ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter ujumbe wa kumkaribisha Ahmed ndani ya Ikulu ya White House, kaonekana kuvutiwa na kipaji cha huyu mtoto na mwaliko huo kautoa kama njia ya kufanya watoto wengi waipende Sayansi na kuwa wabunifu.
OBAMA
Stori ya huyu mtoto kukamatwa iligusa kwenye Vyombo Vikubwa vya Habari Duniani ikiwemo BBC.

Source: millard Ayo
Share:

Issue ya vifaa vya ‘Kwetu Studio’ kuibiwa, gharama yake vipi? Soudy Brown ana Stori yote..#Uheard

 
Director wa Kwetu Studio Msafiri ambaye amerekodi ngoma mbalimbali ikiwemo ngoma ya ‘Sielewi’, ngoma za Hemed PHD..amesema wameibiwa vifaa baada ya kuvamiwa wakiwa hotelini, wameiba camera, lens pamoja na compyuta ambavyo gharama ni zaidi ya milioni 15. Amesema walikua wakitengeneza kipindi kule Kisarawe na walivunja mlango wakati wakiwa kwenye kipindi. Pia kulikuwa na video ambazo zimepotea ikiwemo ya Hemed, msanii wa Arusha Mbaula pamoja na vipindi vya watu. Pia kuna kazi za wasanii za siku nyingi ambazo zilikuwa bado hazijachukuliwa.

Share:

Wednesday, September 16, 2015

Wahamiaji wapata njia mpya Croatia

Kundi la kwanza la wahamiaji limewasili nchini Croatia ,ambayo ni njia mpya ya kuelekea mataifa ya Ulaya yaliopo kaskazini ,siku moja baada ya Hungary kufunga mpaka wake na Serbia. Takriban wahamiaji 150 walivuka na kuingia katika mataifa ya muungano wa Ulaya kutoka Serbia. Croatia inasema kuwa iko tayari kuwapokea moja kwa moja ama kuwaelekeza kule wanakotaka kwenda. Wahamiaji wengi kutoka Syria wana matumaini ya kuelekea Ujerumani. Masharti mapya yaliowekwa katika mipaka pamoja na mzozo kuhusu kugawana maelfu ya wahamiaji hao kumezua tofauti kubwa miongoni mwa mataifa ya Ulaya. Mamia ya wahamiaji waliokwama walingojea nje usiku kucha ama katika mahema karibu na mpakawa Serbia na Hungary.
Share:

Friday, September 11, 2015

Huyu ndio Rais mwenye umri mdogo zaidi duniani….

.
.
Wakati headlines za Uchaguzi sasa zikuchukua nafasi kuanzia kwenye Magazeti, TV, Radio na sehemu nyingine za kutolea habari sio mbaya ukifahamu pia kuhusiana na Rais  ambaye anatajwa kuwa na umri  mdogo zaidi Duniani.
Rais wa Poland anaitwa Andrzej Duda ndio Rais ambaye anatajwa kuwa mwenye umri mdogo kuliko ma rais wote duniani, Rais huyo ana umri wa miaka 43 na kwa ma Rais wote Duniani waliochaguliwa katika chaguzi za kidemokrasia wanasema hakuna Rais  ambaye anaa umri kama huo au chini ya huo.
Share:

Followers

Theme Support