Friday, September 11, 2015

Huyu ndio Rais mwenye umri mdogo zaidi duniani….

.
.
Wakati headlines za Uchaguzi sasa zikuchukua nafasi kuanzia kwenye Magazeti, TV, Radio na sehemu nyingine za kutolea habari sio mbaya ukifahamu pia kuhusiana na Rais  ambaye anatajwa kuwa na umri  mdogo zaidi Duniani.
Rais wa Poland anaitwa Andrzej Duda ndio Rais ambaye anatajwa kuwa mwenye umri mdogo kuliko ma rais wote duniani, Rais huyo ana umri wa miaka 43 na kwa ma Rais wote Duniani waliochaguliwa katika chaguzi za kidemokrasia wanasema hakuna Rais  ambaye anaa umri kama huo au chini ya huo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Followers

Theme Support